| Jambo, Jambo bwana,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Jambo, Jambo bwana,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Tujenge pamoja, hakuna matata
|
| Amani kwa dunia, hakuna matata
|
| Uhuru na undugu, hakuna matata
|
| Afya na shupavu, hakuna matata
|
| Harambee sawa sawa, hakuna matata
|
| Jambo, Jambo dada,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Jambo, Jambo dada,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Vile nakupenda, hakuna matata
|
| Kila siku ubarikiwe, hakuna matata
|
| Sasa watu wetu wote, hakuna matata
|
| Furaha na mahaba, hakuna matata
|
| Hakuna matata hakuna matata
|
| Jambo, Jambo bwana,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Jambo, Jambo dada,
|
| Habari gani? |
| Mzuri sana.
|
| Wageni, Mwakaribishwa,
|
| Nyumba yetu Hakuna Matata.
|
| Tujenge pamoja, hakuna matata
|
| Amani kwa dunia, hakuna matata
|
| Uhuru na undugu, hakuna matata
|
| Afya na shupavu, hakuna matata
|
| Harambee sawa sawa, hakuna matata
|
| Vile nakupenda, hakuna matata
|
| Kila siku ubarikiwe, hakuna matata
|
| Sasa watu wetu wote, hakuna matata
|
| Furaha na mahaba, hakuna matata
|
| Hakuna matata hakuna matata
|
| Tujenge pamoja, hakuna matata
|
| Amani kwa dunia, hakuna matata
|
| Uhuru na undugu, hakuna matata
|
| Afya na shupavu, hakuna matata
|
| Harambee sawa sawa, hakuna matata
|
| Vile nakupenda, hakuna matata
|
| Kila siku ubarikiwe, hakuna matata
|
| Sasa watu wetu wote, hakuna matata
|
| Furaha na mahaba, hakuna matata
|
| Hakuna matata hakuna matata |