![Zam Zam - Kenzo](https://cdn.muztext.com/i/32847569230583925347.jpg)
Дата випуску: 28.10.2021
Мова пісні: Суахілі
Zam Zam |
Ogopa DJS\nMatata hii\nMaisha ya upekee Jamani mi sitaki\nNimeaamua kuwacha Maisha ya u-bachelor\nNiko katika Hali ya kutafuta\nMsichana mmoja Mrembo ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nnimesema na wengi nimejitupa na wengi\nnimehangaika sana nikitafuta mchumba\nwa kunitunza anizalie mapacha\nninapotokea kazini kuna wa kusema nami\nnikikasirika anifurahisha\nmsichana mmoja mrembo eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nnimeamua Nitamtafuta Sitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua Nitamtafuta Sitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua\nNitamtafuta\nSitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua\nNitamtafuta\nSitachoka\nMpaka mi nimpate\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe |