Дата випуску: 17.03.2019
Мова пісні: Суахілі
Zaidi |
Na na na nax4 |
Zinanitoka goose bumps, Nikisikia jina lako |
Mi ninaweukaa, Kabisa mi ni chizi wako |
Na kama ni mganga eeeh, Mzuri huyo mganga wako |
Sio kwa kunipumbaza huku (Baby mmhh) |
Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh |
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh |
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh |
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh |
Kama ni pilipili maa, Acha ukali niusikie |
Kama nivita mama, Acha adui wanivamie |
Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie |
Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue |
No no nooooo |
Zaidi X4 |
Nipe X2 |
Zaidi X2 |
Wewe zaidi zaidiii |
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) |
Nanyosha mikoni juu, kwako me nimesurrender |
Naona maajabu, Sungura kazidiwa ujanja |
Nimekuwa zuzu zuzu zuuu, Nimekuwa bubu bubu buuu |
Nimekuwa mbumbu mbuu baby ehh, Nimekuwa zaidi ya nyumbu |
Sioni sisikiii… (aaah) |
Sioni sisikiii baby eeeh |
Kama ni pili pili maa, Acha ukali niusikie |
Kama nivita mama (na na na na), Acha adui wanivamie |
Kama we ni asali maa, Acha na nyuki wanivamie |
Lakini penzi lako baby, Ata kidogo lisipungue |
Zaidi X4 |
Nipe X2 |
Zaidi X2 |
Wewe zaidi zaidiii |
Wewe nipe zaidi zaidi (zaidiii) |
Mommy ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh |
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh |
Baby ongeza ubuyu, nizidi kuumumunya eeeh |
Tena na sukari guru, Utamu nikitafuna eeeh (Mmmmh) |