Інформація про пісню На цій сторінці ви можете ознайомитися з текстом пісні Yatapita, виконавця - Diamond Platnumz.
Дата випуску: 22.01.2024
Мова пісні: Суахілі
Yatapita |
Yatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMawigi na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNawe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nAloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho\nAmini fungu letu laja haliko mbali\nAlisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso\nBaby mitihani kawaida usijali, mnh!\nKidogo nnachokuletea usinune pokea\nNipate moyo nifariji\nNa juhudi naziongezea usichoke niombea\nMolah atubariki zaidi\nMungu kakupa sura kakupa shepu\nNyuma chura mambo yetu\nMwana wa sanura, mwenzako mimi I love you\nUmeniteka medula niko fyetu\nAkili haina ndala iko peku\nUmenivurura, mwenzako mimi I love you\nOoh nivumilie\nYatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMikufu na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNawe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nOoh Baby\nTazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama\nLiliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh!\nNa nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana\nNyumba haijengwi kwa vita hasira\nKwenye macho yako nikiyatazama\nNaiona huruma yako mama\nChangamoto maana kuna muda unakata tamaa\nNanoa kisu hatuli nyama\nNa kodi lundo zatuandama\nRiziki zama kwa zama\nYa kwetu kesho ya kwao ni jana\nKidogo nnachokuletea usinune pokea\nNipate moyo nifariji mnh!\nNa juhudi naziongezea usichoke niombea\nMolah atubariki zaidi\nYatapita kipenzi changu\nYatapita yana mwisho\nIpo siku tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau\nKaza moyo, nivumilie\nAmini tutayasahau\nWatatuheshimu walio tudharau (Wote)\nNa ntakununulia (Vyote)\nMawigi na simu (Vyote)\nNtakuzawadia (Vyote)\nPochi zenye thamani (Vyote)\nNa wewe uende waringishia (Vyote)\nUtembee kwa uskani (Vyote)\nNa vioo ukiwafungia (Vyote)\nMungu kakupa sura kakupa shepu\nNyuma chura mambo yetu\nMwana wa sanura\nMwenzako mimi I love you |