| Anachukua anaweka Waah! |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Kaghamu kupendwa na |
| Kaghamu nasikia |
| Tamu kupendwa nawe |
| Tamu kupendwa nawe, tamu |
| Tamu kupendwa nawe |
| Oh maneno maneno, tumeyazoea |
| Vijineno neno, tushazoea |
| Wapenzi wangu ku-party |
| Kwani ninawahusu |
| Shepu yake mbaya, hivi inawahusu |
| Udangaji umalaya, wao inawahusu nini |
| Wamegusa pabaya na mwaka huu |
| Lazima wachuchumae |
| Wameingia cha kike |
| Cha kike |
| Wameingia cha kike |
| Cha cha kike |
| Wameingia cha kike |
| Cha kike |
| Wameingia cha kike |
| Cha cha kike |
| Aah Bakokote Babu Tale |
| Don Mendez, Ba Junior |
| Chumbani Hennessy |
| Hunipatia panadol |
| Kuchenga za Messi |
| Na mashuti ya Ronaldo |
| Yaani ndani nikiingia tu |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Ah kwenye gari |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Iwe jikoni ama varandani |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Doze doze, doze doze |
| Anachukua anaweka Waah! |
| Yaani baadae salama joto |
| Toa leso nipepepee |
| Oya kombo joto |
| Toa leso nipepepee |
| Oya mzee kunami, jipepee |
| Oh Ricardo Momo, jipepe |
| Oya mama Ndangote, jipepe |
| Eeh Doni Fumbwe, jipepe |
| Juu juu, jipee |
| Juu juu juu, jipee |
| Juu juu, jipee |
| Juu juu juu, jipee |
| Na se |
| Na se |
| Na se |
| Na se |
| Papa Mobimba aye |
| Papa Mobimba aye |
| Papa Mobimba aye |
| Papa Mobimba |
| Alobaka te anyataka trop akokaka te Sukuma aa Yes |
| Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma |
| Anyataka trop alelaka trop alingaka trop kanga ye Yes |
| Tshuma tshuma tshuma tshuma |
| Fukama Fukama Fukama Fukama |
| Fukama Fukama Fukama Fukama |
| Papa Ngwasuma |
| Papa Ngwasuma |
| Dar es Salaam Ngwasuma |
| Kinshasa Ngwasuma |
| Eeeh aaah! |
| Eeeh Weeeh! |
| Usiniguse, usinitouch |
| Tusalimiane kwa miguu |
| Usiniguse, usinitouch |
| Tusalimiane kwa miguu |
| Ooh nasema usiniguse, usinitouch |
| Salamu iwe kwa miguu |
| Usiniguse, usinitouch |
| Tusalimiane kwa miguu |
| Ooh kwanza kaa mbali |
| Corona coro, corona coro |
| Mwenzako naogopa |
| Corona coro, corona coro |
| Kwa tena vaa maski |
| Corona coro, corona coro |
| Mikono yako kuosha |
| Corona coro, corona coro |