
Дата випуску: 21.11.2020
Мова пісні: Суахілі
Hasara |
Haaaah Haaah Mhhh |
Mr Lg |
Mhh Mhhhh |
Haaaah |
Mi Staki Tuongee |
Moyoni Nna Machungu Machungu |
Nsije Tenda Dhambi Mhh |
Ila Chozi La Mnyonge |
Malipo Ni Kwa MUNGU Kwa MUNGU |
Bora Nihame Kambi |
Mmhh Mhh |
Kama Subira Ina Mwisho |
Ina Mwisho Wake Manaa |
Asali Umeimaliza Mzinga |
Ukanifanya Tahira |
Suluhisho Nimeona Kwako Hamnaa |
Moyo Wangu Si Wa Mninga Najitoa |
Tunagombana Kwa Vitu Vidogo |
Kosa Si Kosa Unageuka Mbogo |
Huna Dogo Wewe |
Hunipendi Unang’ong’a Kisogo |
Punda Siendi Eti Bila Magongo |
Mpenda Zogo Wewe |
Назва | Рік |
---|---|
Number One ft. Zuchu | 2020 |
I Miss You ft. Zuchu | 2022 |
Sere ft. Zuchu | 2021 |
Nobody ft. Joeboy | 2020 |
Sukari | 2021 |
Kwaru | 2020 |
Litawachoma ft. Diamond Platnumz | 2020 |