Текст пісні Bado - Nandy

Bado - Nandy
Інформація про пісню На цій сторінці ви можете ознайомитися з текстом пісні Bado , виконавця -Nandy
У жанрі:Африканская музыка
Дата випуску:08.11.2018
Мова пісні:Суахілі

Виберіть якою мовою перекладати:

Bado
Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa
Sio ishu ni hatari usije ukayasikia
Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia
Taratibu bwana darling usije ukayasikia
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we me nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe Mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyagaa utanipa donda hapo hapo
Nikianzishe kilio wo wo wo baba ubaya Usije ni bwagaa nakupenda
Bado
Nakupenda baba
Bado
Laazizi
Bado
Usininyime utamu
Bado
Nakupenda
Bado
Nakupenda bwana
Bado
Ooh wangu Mimi
Bado
Yeah yeah yeah
Bado
Mh
Hutumii vumio bwana samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng’ari ng’ari habari zinapatikana
Na maneno Ndo mengi sana usishike moja tazama
Nipe vya asali kachumbari pilipili Kwa sana
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we mi nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe Mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo kama ulaya
Wanavyofanyaga utanipa donda Kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo
Baba ubaya Usije ni bwaga nakupendaa
Bado
Nakupenda bwana
Bado
Laazizi
Bado
Usininyime utamu
Bado
Nakupenda
Bado
Nakupenda bwana
Bado
Ooh wangu mimi
Bado
Yeah yeah yeah
Hutumii vumio bwana
Samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng’ari ng’ari
Habari zinapatikana
The African princess

Напишіть, що ви думаєте про текст пісні!

Інші пісні виконавця:

НазваРік
2020
2018
2021
2018
2019
2018
2018