| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia (Jeshi) |
| Kushoto kulia |
| Washa tochi ya simu sa tuone mwanga (Konde Boy) |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kapandisha wazimu analicheza vanga |
| KondeBoy for everybody |
| My music dey shake your body |
| 'Cause I do this for my people |
| I wanna hear you sing, ta la la la |
| Kikando kinanigadi |
| Nafasi naongeza idadi |
| Saluti kwa wanangu wa ghetto |
| Segelea okonga gwala gwala |
| Wasonipenda kazi wanayo |
| Eeeh, kazi wanayo |
| Mie sipigi genga pesa ninayo |
| Eeeh, pesa ninayo |
| Tunatia chenga wanafuata nyayo |
| Eeeh, wanafuata nyayo |
| Tunapiga denda wanapiga miayo |
| Eeeh, wanapiga miayo |
| We kesha kwa waganganga |
| Mwenzako najichanganganga |
| Nazisanya faranganganga |
| Nikipata natumia maduwoteru |
| Ruksa nipanganga |
| Napendaga vicheni vishanganganga |
| Na uturi wa kanganganga |
| Hakikisha unanukia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Washa tochi ya simu sa tuone mwanga |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kapandisha wazimu analicheza vanga |
| Samina mina, eeh eeh |
| Waka waka, eeh eeh |
| Samina mina, eeh eeh |
| Waka waka, eeh eeh |
| I say, samina mina, eeh eeh |
| Waka waka, eeh eeh |
| Samina mina, eeh eeh |
| Waka waka, eeh eeh |
| Wanaotaka shindana na mimi |
| Hawapati hata sare |
| Usishangae tattoo na vipini |
| Ni makonde chale |
| Peace kwa walonileta mjini |
| Mondi wa Tandale |
| Maneno majungu tupa chini |
| Muziki utawale |
| Kama nyapara kafunguliwa pingu wee |
| Kutwa tunachana mawingu wee |
| Ameshapanga wewe ni nani upangue |
| Unajitesa buree (Yii aga) |
| We kesha kwa waganganga |
| Mwenzako najichanganganga |
| Nazisanya faranganganga |
| Nikipata natumia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Washa tochi ya simu sa tuone mwanga |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Kapandisha wazimu analicheza vanga |
| Bonga, mwambie cheopa |
| Moto hauzimwi na moto wewe |
| Wakiziba kulia |
| Si tunapita kushoto |
| Je mama jin |
| Usicheze na jembe litakulipa |
| My nigga Jose wa mipango |
| Konde Gang is for everybody, everybody (Kushoto kulia) |
| Kushoto kulia |
| Kushoto kulia |
| Washa tochi ya simu sa tuone mwanga |